Mkuu wa Wilaya Geita Mhe. Wilson Shimo leo Septemba 25, 2021 amekabidhi Kadi za Bima ya Afya kwa wanachama 54 waliojiandikisha kwenye Banda la Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) wakati wa maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya EPZA-Bombambili mjini Geita. |
0 Comments