Na; Theresia C Method Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa bandari ya Mbamba Bay mkoani Ruvuma jana Septemba 25,2024. Ujenzi wa bandari mpya ya kisasa ya M…
Na Theresia C Method, Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali ambapo amemteua David Chimbi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania…
Na Theresia C Method Katika juhudi za kukabiliana na matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto mkoani Geita, kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita kamishina msaidizi mwandamizi wa jeshi hilo Saf…
Na Editha Edward- Geita WAZIRI wa maji Juma Aweso ametoa maelekezo kwa wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini Ruwasa kuweka mfumo rahisi katika mfumo mpya wa malipo wa jumuia za watumiaji…
Na: Alphonce Kabilondo - Geita Waganga wa tiba asili na wakunga nchini wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata kanuni, taratibu na sheria za nchi . Rai hiyo imetolewa agosti 25 mkoani Geita…
Na Salum Maige-Geita: Siku chache baada ya tukio la kusikitisha la mama mzazi Shija Erasto kudai mwanae kufariki kwa uzembe wa watoa huduma katika zahanati ya Kigongo wilayani Chato, serikali imech…
Na: Samwel Masunzu Geita Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Taifa balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameagiza ofisi ya mkuu wa mkoa wa Geita kuhakikisha inashughulikia kero ambazo zimepokelewa k…
Na; Editha Edward Wananchi wa mtaa wa Lukirini, kata ya Kalangalala, Geita mjini, wameonyesha furaha na kuridhishwa na juhudi za Mbunge wa jimbo la Geita mjini, Costantine Kanyasu, kwa kutim…
FOLLOW US ON