Na Theresia C Method: Waziri wa madini, Anthony Mavunde, ameutaka uongozi wa wilaya ya Mbogwe mkoani Geita kuhakikisha wanasimamia kwa ufanisi fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ili…
Na Theresia C Method, Lusaka, Zambia-Oktoba 2, 2024: Tanzania kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imechukua uongozi wa mapambano dhidi ya rushwa katika ukanda wa SADC, ikiw…
Na. Samwel Masunzu Geita Bukombe, Geita Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2024 kitaifa Godfrey Mnzava ametembelea shule ya msingi yenye wanafunzi wenye mahtaji maalumu ya Ushirombo wilay…
Na Samwel Masunzu, Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita umewataka vijana kuepuka kutumiwa na baadhi ya makundi katika kuchafua amani nchini, badala yake wailinde amani ambay…
Na Samwel Masunzu-Geita Jamii mkoani Geita imeaswa kuendelea kushirikiana na serikali katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kufanikisha malengo ya serikali ya kutoa huduma katika jamii Hayo yame…
Na Samwel Masunzu-Geita, Mwenge wa uhuru wa mwaka 2024 umewasili mkoani Geita ambapo utakimbizwa mkoani humo kuanzia leo septemba 30 hadi oktoba 5, 2024. Mwenge huo umepokelewa mkoani Geita na mku…
Na Theresia C Method, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo Septemba 30, 2024 amezindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) katika kituo cha Mikut…
Na mwandishi wetu, Beijing, China – Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) inashiriki kongamano la 5 la kimataifa la mashirikiano katika mapambano dhidi ya rushwa, linaloendelea…
FOLLOW US ON