Na Mwandishi wetu: Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (Union of Tanzania Press Clubs - UTPC) imejipanga kushiriki kikamilifu katika kutokomeza ukatili wa kijinsia kupitia kampeni ya Sik…
Na Theresia C Method: Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Geita Mjini, Bw. Yefred Myenzi, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya siasa kuhakikisha wanaheshimu sheria, kanuni, na miongozo ya uchaguzi ili…
Na Theresia C Method; Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonyesha mafanikio makubwa katika ununuzi wa dhahabu safi, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha akiba ya fedha za kigeni nchini. Katika kipindi…
Na Theresia C Method: Wananchi 226 wa kata ya Mwingiro wilayani Nyang'hwale wamelipwa fidia ya jumla ya shilingi 7,206,991,048 na mgodi wa Barrick - Bulyanhulu baada ya kero yao kuibuliwa katika…
Rev. Stevie Robert Mlenga: Askofu Mkuu wa kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania -FPCT
Na Theresia C Method: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Bukombe, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari…
Na Samwel Masunzu: Serikali kupitia Wizara ya Madini imefuta zaidi ya leseni 2,000 za uchimbaji madini zilizokuwa zikimilikiwa na wachache, hatua iliyolenga kuwaruhusu wachimbaji wadogo kupata maen…
FOLLOW US ON