Katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary S. Senyamule wakati akiwaongoza na kuhutubia wananchi wa mkoa wa Geita kuelekea kwenye kilele cha maadhimiosho ya miaka 60 ya Uhuru na miaka 59 y…
Katika picha kutokea upande wa kushoto kwako ni Renatus B.D Masuguliko (Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Geita-Geita Press Club GPC) akipokea cheti/hati kutoka kwa Paul Zahoro (Afi…
Katika picha ni akinamama wajawazito mkoani Geita wakipata huduma ya vipimo vya afya wakati wa kuhudhuria kliniki ya wamama wajawazito kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Januari hadi Disemba 2021 …
Waratibu wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa UTPC na IMS wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kufuatilia na kutoa taarifa za vitendo vya ukiukwaji…
Pichani katikati ni Mhe.Col (rtd).Ngemela Lubinga (Katibu NEC, Secretariat and Foreign Relations na Mlezi Mkoa wa Geita) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa GGML (wenye T-shir…
Mkuu wa Wilaya Geita Mhe. Wilson Shimo leo Septemba 25, 2021 amekabidhi Kadi za Bima ya Afya kwa wanachama 54 waliojiandikisha kwenye Banda la Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) wakati wa maonesh…
Afisa Vipimo Mkoa wa Geita akitoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo kwa Wananchi waliotembelea banda la Wakala wa Vipimo kwenye maonesho ya Madini. Wakala wa Vipimo (WMA) inawakaribisha wananchi…
Makamu Rais wa kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML) Mhe. Saimon Shayo akitoa salaam za mgodi kwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya nne ya teknolojia na uwekekezaji kwen…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasili katika viwanja vya EPZA kwenye maonesho ya nne ya teknolojia na uwekezaji kwenye sekta ya madini mkoani Geita. Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza kwen…
Mwenyekiti wa Chama Cha wachimbaji wadogo mkoa wa Geita Christopher Kadeo akitoa maelezo mbele ya kamati ya siasa ilipotembelea kwenye banda hilo. Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya …
Meneja rasilimali watu mgodi wa Buckreef Amelda Msuya akitoa maelezo kwa mbunge wa jimbo la Geita Mjni Costantine Kanyasu aliyevaa koti. Mgodi wa Buckreef uliopo katika kijiji cha Mnekezi kata ya K…
FOLLOW US ON