Naibu Waziri wa Mazingira Mhe, Mwita Waitara Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara ametoa amewataka watendaji wa serikali Mkoani Geita kuhakik…
Wachimbaji na wachenjuaji wadogo wa madini ya dhahamu Mtaa wa Mgusu mjini Geita Wachimbaji na wachenjuaji wa madini ya dhahabu katika Mtaa wa Mgusu Halmashauri ya Mji wa Geita Mkoani Geita…
Waumini wa kanisa la The voice Of Gospel wakifanya Usafi. Taasisi , makampuni mbalimbali kwa kushirikiana na wananchi Mjini Geita wameshauriwa kuzingatia usafi wa mazingira hususani katika kipindi…
Kaimu Ofisa Afya na Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita Bw Ntiliyo Ezekiel Wawekezaji nchini wameshauriwa kuwekeza katika miradi ya usafi wa mazingira ili kuweza kue…
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Geita Leonidas Felix alie Kushoto, kulia ni Mkuu wa wilaya ya Chato Mhandis Charles Kabeho katika zoezi la kukabidhiana vifaa vya kujifunzia wanafunzi wenye mahitaji maalum…
Mwalimu Rose Frank akipokea fedha aliyokuwa ametapeliwa na Mtandao wa QNET Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Geita imefanikiwa kumrejeshea Mwalimu wa shule ya Msingi Lukalanga…
Meneja wa NHIF Mkoa wa Geita Elias Odhiambo Wananchi Mkoani Geita wameshauriwa kuendelea kujiunga katika Mfuko wa taifa wa bima ya Afya NHIF kwakuwa huduma za mfuko huo zimeendelea kuboreshwa ili k…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemhukumu Afisa Tabibu wa kituo cha Afya cha Katoro wilayani Geita kwa makosa ya kuomba na kupokea Rushwa ya shilingi Elfu 30 kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria K…
Waratibu wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania wametakiwa kujituma nakuwa na juhudi katika kutekeleza majukumu yao kwa kufanya kazi kwa kuzingatia mwongozo wa utendaji kazi kwa ustawi na maendel…
Mkuu wa wilaya ya Chato Mhandis Charles Kabeho Mkuu wa wilaya ya Chato Mkoani Geita Mhandis Charles Kabeho amefuta likizo zote kwa watumishi wa serikali katika wilaya hiyo, nakuwaagiza kutumia kipi…
Muonekano wa Mradi wa Maji wa Chankorongo Geita Dc Waziri wa Maji Mhe, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi meneja na kaimu meneja wa huduma za maji mjini na vijijini RUWASA wilaya ya Geita kwa kushindwa …
Shirika la Ndege Tanzania ATCL limepanga kuanza safari zake katika Mkoa wa Geita hivi karibuni kufuatia uwanja wa Ndege wa Chato kuwa katika hatua ya mwisho ya matengenezo. Mtendaji wa shirika la nde…
Baadhi ya wanaume wanaofanyiwa vitendo vya ukatili na wake zao nchini wameshauriwa kuendelea kuripoti vitendo hivyo kwa mamlaka husika ili waweze kusaidiwa. Rai hiyo imetolewa na katibu Mku…
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi amewatahadhalisha watumishi wazembe na wanaotoa lugha chafu kwa wagonjwa kuwa hawatavumiliwa kwa kuwa kwa kufanya hivyo nikukiuka sheria za utumishi. …
FOLLOW US ON