Mtambo wa umwagiliaji unaotumia nishati ya jua Salum Maige – Geita; Matumizi ya nishati ya jua (solar) hasa kwenye kilimo cha umwagiliaji kinatazamwa na wakulima wa mboga mboga wa kijiji cha Nyamgogw…
Mkuu wa mkoa wa Geita , Mhe. Martine R. Shigela Na Theresia C Method; Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 8.6 kwa ajili ya kuwafikishia nishati safi ya kupikia maeneo ya vijijini, ikiwa n…
Na mwandishi wetu; Katika kuadhimisha Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, maandamano ya amani yamefanyika leo mkoani Manyara, yakilenga kuhamasisha jamii kutokomeza ukatili wa kijinsia. Maandam…
Na mwandishi wetu; Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, leo November 25, 2024 kumefanyika maandamano ya amani ya kupinga ukatili katika mkoa wa Manyara. Maandamano hayo yamaf…
Na Mwandishi wetu: Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (Union of Tanzania Press Clubs - UTPC) imejipanga kushiriki kikamilifu katika kutokomeza ukatili wa kijinsia kupitia kampeni ya Sik…
Na Theresia C Method: Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Geita Mjini, Bw. Yefred Myenzi, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya siasa kuhakikisha wanaheshimu sheria, kanuni, na miongozo ya uchaguzi ili…
Na Theresia C Method; Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonyesha mafanikio makubwa katika ununuzi wa dhahabu safi, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha akiba ya fedha za kigeni nchini. Katika kipindi…
Na Theresia C Method: Wananchi 226 wa kata ya Mwingiro wilayani Nyang'hwale wamelipwa fidia ya jumla ya shilingi 7,206,991,048 na mgodi wa Barrick - Bulyanhulu baada ya kero yao kuibuliwa katika…
Rev. Stevie Robert Mlenga: Askofu Mkuu wa kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania -FPCT
Na Theresia C Method: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Bukombe, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari…
Na Samwel Masunzu: Serikali kupitia Wizara ya Madini imefuta zaidi ya leseni 2,000 za uchimbaji madini zilizokuwa zikimilikiwa na wachache, hatua iliyolenga kuwaruhusu wachimbaji wadogo kupata maen…
Na Theresia C Method: Waziri wa madini, Anthony Mavunde, ameutaka uongozi wa wilaya ya Mbogwe mkoani Geita kuhakikisha wanasimamia kwa ufanisi fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ili…
Na Theresia C Method, Lusaka, Zambia-Oktoba 2, 2024: Tanzania kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imechukua uongozi wa mapambano dhidi ya rushwa katika ukanda wa SADC, ikiw…
Na. Samwel Masunzu Geita Bukombe, Geita Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2024 kitaifa Godfrey Mnzava ametembelea shule ya msingi yenye wanafunzi wenye mahtaji maalumu ya Ushirombo wilay…
FOLLOW US ON